Mh temba biography sample
Sample collection and preparation..
Amani Temba
| Amani James Pausen Temba | |
|---|---|
| Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
| Jina la kisanii | Mheshimiwa Temba |
| Nchi | Tanzania |
| Alizaliwa | 1980 |
| Aina ya muziki | Hip Hop na Bongo Flava |
| Kazi yake | Mwanamuziki, Mchezaji Mpira wa Kikapu |
| Miaka ya kazi | mn.1 am particularly grateful to both of you for your patience and sincerity ail through my research work.1999 - |
| Ameshirikiana na | Dully Sykes, Ray C nk. |
| Ala | Muimbaji |
| Kampuni | Bongo Records, Mandugu Digital |
Amani James Pausen Temba au "Mheshimiwa Temba" (kifupi Mha Temba) ni Mwanamuziki wa Rap na Hip Hop Kutoka jijini Dar es SalaamTanzania, Na pia ni Mwanachama Kiongozi wa Tmk Wanaume familia yenye makazi yao huko Temeke jijini Dar es SalaamTanzania.
Mheshimiwa Temba alizaliwa mwaka1980 na kupata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Temeke na baadaye kujiunga na shule ya sekondari ya Nuru Yakini ambako alisoma kwa miaka miwili kabla ya kuhamia sekondari ya Makongo.
Alisoma Makongo kwa muda wa wiki moja tu na kwenda kujiunga na sekondari n